Gabriel Barbosa aanza rasmi Mazoezi na Timu

By
Updated: October 24, 2012
p4

Gabriel Barbosa aanza rasmi Mazoezi na Timu yetu leo hii Aahidi Makubwa.Hapa ni baada ya mazoezi asubuhi ya leo katika kiwanja cha Gymkana.Kushoto kwake ni shabiki Faisal Mohamed aliomba kupiga nae picha.Ataanza kuitumikia Clabu yetu hivi karibuni kwani hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya kumuwezesha kufanya kazi nchini

You must be logged in to post a comment Login