Azam fc Vs Coastal Union

By
Updated: October 29, 2012

Hakika Tumepata Maswali mengi sana kuhusu Jezi kwa Dar-es-sallam zinapatikana wapi.Kwa kuliona hilo sisi kama Kamati ya Masoko tumelifanyia kazi na kama kweli mdau wetu unahitaji Jezi basi tafadhali tuandikie kwenye comment/massage katika Ukurasa huu na namba yako ya simu na unahitaji ngapi ili tujue idadi kamili wanaohitaji Jezi iwe kwa Jumla na Rejareja.

Ili kuipata ni lazima uhudhurie Mechi katika yetu ya 01.11.2012
Azam fc Vs Coastal Union
Itakayofanyika Chamanzi stadium.

N.B Jezi zilizobaki ni Nyekundu tu

You must be logged in to post a comment Login